Burudani

Mfahamu mchekeshaji wa Bongo anayetikisa Ulaya na Asia (+video)

Hakika kuna vipaji vingi vya Bongo vipo nje vinafanya kazi nzuri na kuwakilisha vizuri bendera ya Tanzania lakini havifahamiki. Captain Khalid ni miongoni wa vipaji hivyo ambapo yeye amebarikiwa kuwa mchekeshaji, anaishi nchini Ujerumani lakini kazi zake zimekuwa zikifanya vizuri Ulaya na Asia. Mtazame hapa chini alipofanya mahojiano na Bongo5.

Related Articles

Back to top button