HabariMichezo

Mgawanyo wa Bilioni 12.335 za SportPesa kwa Yanga zipo hivi (+Video)

Klabu ya Yanga wameingia kandarasi mpya na Kampuni ya SportPesa ya tsh bilioni 12.335 kwa kipindi cha miaka mitatu.

Hivyo Yanga watapata bilioni nne (4) kila mwaka.

Mkataba uliyomalizika walikuwa wakipewa bilioni moja (1) kwa mwaka na kwa miaka mitano walipata bilioni 5.2

Bonasi kwa sasa Yanga watapatiwa milioni 150 kama watashinda Premier League, milioni 112 kama watashinda Ubingwa wa Azam Sports Federation Cup na milioni 75 endapo kama wataishia Fainali.

Kuangalia Video Ingia YouTube Bongo5

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button