Habari

Mhe. Rais Samia akutana na Uongozi wa NMB Bank

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Mh. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo – Ruth Zaipuna.
Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents