Habari

Mhe Ridhiwani ateta na maafisa ardhi kuwakumbusha majukumu

“Baada ya ufungaji wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi yaliyofanyika Chuo Cha Mkwawa, Iringa nilipata nafasi kuzungumza na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Iringa na Manispaa ya Iringa. Lengo ni kujadili hali ya Kazi na kukumbushana Wajibu wa kila mmoja katika Utendaji.”

Mhe. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

#KaziInaendelea #ardhiyetuiringa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents