Misime: Mbowe amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za ugaidi (+ Video)

Jeshi la Nchini linamshikilia Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo  (CHADEMA) Freeman Mbowe, kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ugaidi.

Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini David Misime amesema hayo jijini Dodoma na kuongeza kuwa, wanamshikilia Mbowe ili kufanya uchunguzi wa vitendo mbalimbali anavyodaiwa kuvifanya ikiwemo uvunjifu wa amani.

Related Articles

Back to top button