Michezo

Misimu miwili mfululizo Yanga hajaondoka na alama tatu uwanja wa Mkwakwani dhidi ya Coastal Union (+Video)

Yanga ipo jijini Tanga kuzisaka alama tatu muhimu kwelikweli hii leo mbele ya mwenyeji wake Coastal Union mchezo wa Ligi kuu soka Tanzania Bara.

Inapata misimu miwili mfululizo Yanga haijaondoka na alama tatu dhidi ya Wagosi hao wa Kaya klabu ya Coastal Union katika ardhi ya Mkwakwani, licha ya ubora wake uliyonao hivi sasa na kuongoza Ligi Kuu VPL lakini bado baadhi ya wadau wa soka wanaamini safu ya ushambuliaji ya Wnanchi haipo sawa, Abbas Pira alikuwa na hili kwa mtazamo wake kile kinachowasumbua Yanga mpaka kuwa sababu ya kupata ushindi mwembamba kwenye michezo yake iliyopita.

Tutarajie matokeo ya aina gani kwenye mechi hiyo, Yanga watavunja mwiko uliyowashinda kwa miaka kadhaa ndani ya dimba la Mkwakwani au Coastal Union itaendeleza historia yake hiyo mbele ya Wananchi, tupia maoni yako.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents