BurudaniHabariMuziki

Mkali wa RnB Rotimi aachia wimbo wa kimahaba ‘Bestie’

Msanii Nguli wa muziki wa RnB na Mkali wa Nyimbo Za mapenzi kutoka nchini Marekani @Rotimi ameachia wimbo wake mpya rambao analenga kukonga mioyo ya Wapendanao ambao unaitwa #Bestie.

Tayari ngoma hiyo ya Bestie inazidi kufanya vizuri kwenye platforms tofauti za muziki duniani.

Rotimi anashauku kubwa ya kutaka mashabiki wake wasikie project yake ijayo iitwayo #7even akiipa Jina la mtoto wake wa kwanza.

Kwa sasa Rotimi anafanya kazi na msanii nguli Akon kuongezea ladha kwenye kazi zake mpya.

Gusa link hii chini kuusikiliza wimbo huo zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents