HabariMichezo

Mkataba wa Simba na M Bet ni bilioni 26.1 kwa miaka 5

Namba klabu ya Simba ilivyoingia mkataba na kampuni ya M Bet.

“Mwaka wa kwanza – Bil 4.670
Mwaka wa pili – Bil 4.925
Mwaka wa tatu – Bil 5.205
Mwaka wa nne – Bil 5.514
Mwaka wa tano – Bil 5.853

Jumla ni Bilioni 26, milioni 168 na Tsh. 5,000.”- Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet, Allen Mushi.

Related Articles

Back to top button