Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Mke wa Dr.Mwaka adai alikuta majeneza matatu getini kwake, moja la kwake na mawili ya watoto wake

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz amezugumzia sakata la Dr.Mwaka na mke wake ambaye aaomba Talaka yake kutoka kwa mume wake huyo.

ueen ambaye ni Mke wa Dr.Mwaka mwanzo nndoa yake ilivunjwa na aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam na baadaye baraza la Ulamaa kubatilisha suala hilo na kusema ndoa hiyo bado ipo.

Jana kupitia CloudsFm walifanikiwa kufanya mahojiano na mke wa Dr. Mwaka na kueleza mambo mengi yaliyotokea katika mlolongo mzima wa yeye kudai Talaka yake.

Queen amefika hatua ya kupiga goti na kumuomba Dr. Mwaka ampe Talaka yake mbali ya kueleza kukuta maneneja nje ya geti la nyumba yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents