Bongo5 ExclusivesHabariMahojiano

Mke wa Dr. Mwaka aeleza kukamatwa na Polisi akiambiwa mwizi

Siku ya leo Mke wa Dr. Mwaka ameenda Bakwata kutaka Talaka yake, akiongea na wana habari ameeleza kuwa ameachana na Dr.Mwaka tangu mwezi wa kwanza 2022.

Ameeleza mengi sana na baada ya kufika Bakwata amekuwa akizungushwa kupewa Talaka yake licha ya kuwa sheria za dini zinaruhusu na kuna utaratibu wake.

Ameongeza kuwa waliamua kuachana baada ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo ambayo yalikuwa yanaendelea kwenye ndoa yake.

“Mimi nilikuwa naishi Afrika Kusini na watoto wote, aliniachia mpaka watoto wa wake zake wengine lakini niliomba awachukue baada ya hapo aliacha kutunza watoto wake nimejaribu kufuatilia jambo limekuwa zito, naomba mamlaka zinisaidie”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents