BurudaniHabari

Mke wa Lukamba Ceccy afunguka tuhuma za biashara ya ngono “Kama wanafikiria hivyo sawa” (Video)

Mke wa @lukambaofficial @iamceccy amefunguka kuzungumzia tuhuma mbalimbali zinazotolewa na Mange kwa anafanya biashara ya ngono Dubai.

Model huyo amedai kila mtu anajua kazi ambayo anafanya Dubai hivyo kama kuna baadhi ya wanaoamini kwamba anafanya hivyo hawezi bidili mawazo yao.

Ceccy amedai Mange amekuwa akitumia majina yao kibiashara.

Related Articles

Back to top button