MahojianoVideos

Mke wa mmoja ya vijana aliyepotea asimulia, waliaga wanaenda beach wiki ya tatu sasa hawapo (+ Video)

Wakiongea na Bongofive mke wa mmoja wa kijana aliyepotea pamoja na dada wa kijana huyo wameeleza kiundani tukio lilivyokuwa mpaka kupelekea kupotea kwao.

Mbali na hilo katika hao vijana watano waliopotea mmojawapo pia alikuwepo shangazi yake naye kueleza kiundani. “Tumetoa taarifa Polisi wanatusaidia kutafuta lakini pia walitushauri tuende mochwari tumewakosa, Watanzania tusaidieni.

Related Articles

Back to top button