Mkuu wa Kituo cha Polisi Katavi, ashangazwa wananchi kulima bangi ndani ya Hifadhi (+ Video)

Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Majimoto Mpimbwe mkoani Katavi, Emmanuel Shani, ameshangazwa na ujasiri wa baadhi ya wananchi wasio waadilifu kulima bangi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Katavi, licha ya kuwepo wanyama wakali ikiwemo Simba na Chui lakini wananchi hao hawahofii maisha yao.

Kamanda Shani ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Majimoto, kuhusu tabia zao za kulima bangi na kusema pia wapo baadhi ya wananchi hao walipanda bangi katikati ya hifadhi hiyo karibu na Mto Kavuu, mashamba ambayo baadhi yake walifanikiwa kuyateketeza mwezi Julai, 2021.

Bofya hapa chini kutazama.

https://www.instagram.com/p/CT1aGQ4D3I_/

Related Articles

Back to top button