Michezo

Mo Dewij awaomba mashabiki wa Simba kuujaza uwanja katika mchezo wao wa leo dhidi ya JS Saoura

Mmoja ya wamiliki wa simba na C.E.O wa kampuni ya METL Mohamed Dewij amefunguka na kuonyeshania ya kutaka matokeo mazuri na ya ushindi katika mchezo wa leo kati ya Simba na timu kutoka nchini Algeria ya JS Saoura.

Ikumbukwe kwamba timu hii kutoka Algeria anachezea Mtanzania Thomas Ulimwengu. Ujumbe wa Mo Dewij kwa mashabiki na wadau wa soka ni huu hapa:-

“Siri ya ushindi ipo mikononi mwa mashabiki wa Simba! Kwa heshima na taadhima tujaze uwanja. 🙏🏽 #YESWECAN”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents