BurudaniHabari

Mocco afuata nyayo za DJ Khaled kwenye muziki, Alikiba alimtambulisha

Kupitia kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amezungumza mambo mbalimbali ikiwemo ngoma ya Producer Mocco Genious aliyomshirikisha Marioo ya Mi Nawe.

@el_mando_tz amezungumza namna Mocco alivyoanza muziki kama masihara na leo hii watu wameanza kumzingatia katika muziki wake ambao amekuwa akiutoa kila mara.

Anaongeza kuwa mwannzoni kabisa watu walikuwa hawamuamini Mocco Genious lakini Alikiba alianza kumuamini kupitia remix ya Napendwa ndipo watu walipoanza kumzingatia Mocco.

Leo hii Mocco ametoa ngoma akiwa na Mario Mi Nawe na kila mmoja ameikubbali na sasa hivi Mocco ameshakuwa msanii mkali, kwa kadiri siku zinavyoenda Mocco anajenga Ujasiri katika muziki

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents