Mahojiano

Mocco Genious: Wasiompenda Zuchu walifuta Cheche Youtube ila sio kwamba tuli-copy, wakatia anaandika nilikuwa namuona (+Video)

Mwandaaji wa muziki wa Bongo Fleva Mocco Genious amefunguka kuhusu wimbo wa Zuchu #CHECHE kufutwa YouTube baada ya taarifa kusikika kuwa nyimbo hiyo wame Copy.

Mocco amepata nafasi ya kuonge kwa sababu ndio Producer aliyotenegenza ngoma hiyo, Mocco ameeleza kwa undani huku wengine wakidai kuwa Producer ndio ilikuwa sabbau ya ngoma hiyo kufutw akwani ali sample beat.

Mbali na hilo Mocco amemtetea Zuchu kutokana na mistari aliyoimba kwenye ngoma hiyo kwa kudaiwa kuchukua mistari kwenye baadhi ya ngoma na kueleza kuwa Zuchu alikuwa anaenda Studio kurekodi na wimbo mzima umerekodiwa Studio kwahiyo alikuwa naona kabisa Zuchu anavyoandika wimbo mwanzo hadi mwisho.

https://www.youtube.com/watch?v=qTZ01W9RC8o

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents