Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniDiamond Platnumz
Mose Iyobo amkataa Aunt Ezekiel (Video)
Densa wa @diamondplatnumz na mama mtoto mwenza na @auntyezekiel @moseiyobo ametoa sababu ya kumuita @mashalovietz Mama Cookie yaani mama wa mtoto wake licha ya kuwa mama yake mzazi yupo.
@moseiyobo pia ameweka wazi kuwa hana mawasiliano kabisa na @auntyezekiel na hata akitaka kumpata mtoto wake yeye humpigia simu Cookie moja kwa moja.
Lakini @moseiyobo amethibitisha kuwa mtoto wake analipiwa ada na @mashalovietz
Mahojiano yote yapo YouTube ya Bongofive.