BurudaniDiamond Platnumz
Mose Iyobo amzingua Masha Love (Video)

Siku ya leo wapendanao @mashalovietz na @moseiyobo wamepata ubalozi mpya wa kampuni ya kuuza magari ya @navy_company_limited
Wameeleza sababu ya kufanya kazi pamoja.
Mbali na hilo @moseiyobo na @mashalovietz wameonyesha upando mkubwa baada ya @moseiyobo kumtania @mashalovietz ila akamsifia kuwa anapiga sana kazi.
Video nzima ipo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.