Michezo
Mpanzu ni mali halali ya Simba

Updates Ellie Mpanzu (23) alisaini mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia Simba Sc utakaomalizika 2026.

As Vita Club walifanya biashara na Simba kwa dau la USD 180K (Tshs 484m) Ni mali halali ya Simba Sc.




