Mgombea Mwenyekiti aliyeshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa Simba SC, Moses Kaluwa amesema kuwa hakusaini matokeo yaliompa ushindi mpinzani wake Murtaza Mungungu na kuongeza kuwa wanajukumu la kuijenga timu hiyo ”Tunaipenda Simba SC, hatupendi watu.”