Mpira ni sawa na msichana mzuri kama huna pesa utaishia kupiga kelele tu- Privaldinho (+Video)

“MPIRA NI SAWA NA MWANAMKE MZURI, HUNA PESA UTAISHIA KUPIGA KELELE KAMA AMBULANCE, MASHABIKI WA KLABU NYINGINE WANAISHIA KULALAMIKA,”- @privaldinho

@simbasctanzania kwa sasa ipo mbali sana, #simbasc ni kama TP Mazembe ya zamani, haya ni matunda ya uwekezaji badala ya siasa.”- Mchambuzi wa soka nchini anayechipukia kwa kasi @privaldinho

“Mpira ni sawa na Mwanamke Mzuri, huna pesa utaishia kupiga kelele kama Ambulance, mashabiki wa Klabu nyingine wanaishia kulalamika lakini #simbasc Wanashangilia,”- Maneno ya mchambuzi wa soka chipukizi na anayekuja kwa kasi @privaldinho akizifunda klabu nyingine kuweka pesa ili kufikia mafanikio kama ya @simbasctanzania badala ya kelele na siasa.

Related Articles

Back to top button