HabariMichezo

Mpira utasimama kupisha Waislamu kufuturu- EPL

Waamuzi wa Premier League na EFL nchini England wametakiwa kusimamisha mpira kwa dakika kadhaa wakati wa mechi ili kuruhusu wachezaji wenye imani ya dini ya Kiislamu kutumia muda huo kufuturu wakati wa Ramadhan inayotarajiwa kuanza kesho siku ya Jumatano.

Ramadhani ni mwezi mtukufu na moja ya nguzo za Uislamu ambapo hutumika kwaajili ya Ibada.

Miongoni mwa wachezaji nchini England ambao ni Waislamu ni pamoja na Mohamed Salah, Riyad Mahrez, Kalidou Koulibaly, Wesley Fofana na wengine wengi.

Imeadikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents