Bongo5 ExclusivesBurudaniMuzikiUmbeaVideos
Mr Blue alimuita Alikiba Michael Jackson (Video)
Kwenye mahojiano na @el_mando_tz Mkongwe wa Bongo Fleva amezungumzia maisha yao ya zamani na wasanii wenzake namna walivyoishi.
@abbyskillz_tz ametaja tabia za kila msanii @officialalikiba @mrbluebyser1988 @princedullysykes na @queendarleen_
Mahojiano yote yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa