
Mr Blue na Juma Nature ni wasanii bora wa muda wote kwenye Kiwanda cha Muziki wa Bongo Fleva. Kila mmoja aliwika kwa muda wake wakiwa kama wasanii kwa upande wa Afrika Mashariki miaka ya nyuma.
Hapa @mrbluebyser1988 anasimulia namna Producer alivyomtoa Studio ili @sir_nature aingize Verse kwenye wimbo wao.
@mrbluebyser1988 anasema wimbo wenyewe ukikuwa Muziki na Shule ambao Mr Blue alimshirikisha @sir_nature