Michezo

Mrisho Ngassa amkataa Mayele

Aliyewahi kuwa Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Mrisho Ngasa, amemshauri Mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele aliyewahi kuitumikia Yanga, kumalizana na watu waliomkosea kuliko kupambana na taasisi (Yanga) sababu anaamini kuwa Yanga sio ya kiongozi yeyote. “Ila swahiba wangu top scorer wewe kweli wakusema mimi najua ?

Lakini mimi ninachojua nyota yako ipo yanga, karibu Tanzania Kama Kuna tofauti zozote na viongozi malizana nao. “Uncle wewe ni top scorer, katika Dunia hii mimi ni shabiki yako namba 1 piga kazi ndugu yangu Kama Kuna mtu kakukosea malizana naye yeye, yanga sio ya hao viongozi utapata dhambi.

“Kuna watu wanakufa kwasababu yako wanavyokupenda na kuona unayoyasema, Tanzania ni familia yako, uncle mimi ni shabiki yako sana kila jema uncle,” Aliyewahi kuwa Mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Credit : Wasafi Fm

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents