Msanii wa muziki @AmbulanceAmos ameachia wimbo wake Mpya 'Usinibabaishe' project ambayo imeonekana kupokewa kwa shangwe na mashabiki wengi wa muziki. https://youtu.be/_HaTwrpoZNE