Msanii Banny aachia EP yenye nyimbo 3 (Video)

Tanzania imebarikiwa Kila Kukicha Kuibuka kwa Wasanii Wapya , Wiki Hii Kiwanda cha muziki wa bongo fleva kimempokea Msanii Mpya wa Kike aitwaye BANNY Mwenye Uwezo wa Kuimba na Kuchana , Ruth Gerald Soko a .k.a Banny Ni Msanii Mpya Kwnye Bongo Fleva.

BANNY Akiwa Kama Msanii wa Kike na Mpya Kabisa Amechia Extended Playlist ( EP ) Iitwayo BannyTOUCHEp yenye Nyimbo Tatu , Nyimbo Mbili akiwa Ameimba na Wimbo Mmoja akiwa Amefanya Miondoko ya Hip Hop, BannyTOUCHEp inanyimbo kama GUSA, NIKIKUONA na PAPI, Watayarishaji walioshiriki kukamilisha ni Pamoja na Producer V50, Producer Dupy Beatz wa Uprise Music , Kenny Pamoja na Produce Silley.

Unaweza Kusikiliza Ep ya BannyTOUCHEp Kwa Maduka Yote Ya Kuuza Muziki !

Na Video Ya Wimbo wa GUSA unaoibeba EP Hiyo Umetoka Unaeza Kuicheki YouTube

Related Articles

Back to top button