Muziki

Msanii kutoka Nigeria Singah aachia video ya ngoma yake mpya aliyomshirikisha Alikiba (+ Video)

Hii nyingine kutoka Lagos Nigeria 🇳🇬 +234 mpaka Dar Es Salaam Tanzania 🇹🇿 +255 hapa ni mkali @official_singah akimshirikisha mkali mwingine @officialalikiba #Somebody

Ngoma hii tayari ipo YouTube kwenye akaunti ya Singah

Unawapa asilimia ngapi kwa chupa hili kali wana @official_singah x @officialalikiba

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents