Muziki

Msanii mpya alisainiwa na Harmonize ameachia wimbo wa kwanza akiwa Konde Gang ‘Nimekubali’ – Audio

Msanii mpya alisainiwa na Harmonize ameachia wimbo wa kwanza akiwa Konde Gang 'Nimekubali' - Audio

Msanii mpya aliyetambulishwa na C.E.O wa Konde Gang Harmonize ambaye anajulikana kwa jina la Ibrah tayari ameachia audio ya wimbo wake wa kwanza akiwa chini ya Konde Gang.

Wimbo huo nimekubali umefanywa na producer Kapipo, Ibrah alitambulishwa na Harmonize siku ya jumamosi siku mbili kabla ya kuachia wimbo huu mpya

https://www.youtube.com/watch?v=0Mmy_GSEFpg

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents