MuzikiVideos

Msanii Nomina aachia video yake mpya “Never Change” (Video)

Nomina ni msanii wa muziki kutoka Botswana na ambassador wa UN ambaye anafanya vizuri sana na Mziki wake wa Amapiano na kazi yake mpya ya ‘Never Change“.

Wimbo huu ameweza kushirikiana na Slam, DJ Lewisky na Pia Distribution akifanya na Atmuzikafrica kutoka Tanzania.

Related Articles

Back to top button