Msanii wa Injili mwenye ndoto za kufanya mabadiliko, Ntafanya colabo na Diamond Alikiba na Vanessa (+Video)

Msanii wa muziki wa Injili anayejulikana kwa jina la Steve Kato ameeleza jinsi alivyojipanga kufanya muziki wa tofauti na wasanii wengine.

Akiongea na Bongo5 ameeleza mipango yake ya kutaka kufanya collabo na wasanii wa Bongo Fleva kama vile @diamondplatnumz @officialalikiba @vanessamdee @juma_jux na wengine. “Wengi wanafanya muziki kwa kuigia wasanii fulani kila kitu hilo ni tatizo ndio maana mimi nafanya muziki wa tofauti sana”

Related Articles

Back to top button