Msanii wa Joh Makini Otuck azindua EP, Mastaa wahudhuria (+ Video)

Leo katika uzinduzi wa EP ya msanii @otuck_william ambaye yupo chini ya lebo ya @johmakinitz yaani @makini_records_official walihudhuria mastaa wengi sana.

Miongoni mwa mastaa waliohudhuria katika tukio hilo ni @juma_jux #Weusi wakiongozwa na @johmakinitz @nikkwapili @lordeyesmweusi wengine ni @iambenpol pamoja na wadau wengine kama Watangazaji kama @lilommy , @skytanzania @adamchomvu na wengine.

#EP ya Otuck inaitwa THE FUTURE MEMORIES.

Related Articles

Back to top button