Msanii wa Nigeria Anthony Sky ameachia nyimbo alizowashirikisha Rosa Ree na Lorenzo kutoka Tanzania (+ Audio)

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria ambaye makazi yake ni Sweden ameachia Album yake ya LOUDA

Na katika Album hiyo amewashirikisha wasanii wawili kutoka Tanzania ambao ni @rosa_ree katika ngoma ya #PASSENGER na @brianlorenzotz katika ngoma ya #WALLAHI

Related Articles

Back to top button