Burudani

Msanii wa Tanzania Akiki Dady amshukuru Drake na Black Coffee

Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu kuachiwa kwa wimbo wa Shida kutoka kundi la BAQABO sasa wapo mbioni kuja na ujio mpya.

Ametoa taarifa kupitia @akiki_dadi “ imekuwa furaha kubwa kuona upendo kutoka kwa wasanii kama DRAKE na Black coffee kupost moja ya kazi yetu ya “MY FRIEND” hii imeleta nguvu kubwa sana na wamesema wana ujio wa albumu na collabo kubwa na wasanii tofauti ndani ya Africa na nje ya Africa’”

Drake aliweza kuweka instastory clips ya wimbo My Friendy wa kundi hilo ukiwa unachezwa club na Black Coffee

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents