Mshindi wa BSS Meshack akiimba cover ya wimbo, Muhudumu wa Aslay (Video)

Msanii wa muziki, Meshack ambaye ni zao la BSS 2019, amefungua segment yetu mpya maalum ambayo itakuwa inawapa fursa wasanii washanga kwa kuimba cover na wasanii mbalimbali ili kuonyesha uwezo wao wa kuimba. Tunaimani producers, managers pamoja na wadau wa muziki wakiona uwezo wao wa kuimba kupitia nyimbo za wasanii wengine wataweza kusaidiwa na kupawa nafasi za kuonyesha vipaji vyao.

Related Articles

Back to top button