Msizwa ampa gari Esma, Diamond amrudishia shemeji pesa aliyonunulia gari na kukuongezea dola 50000 (Video)

Familia ya Msizwa baada ya kumuoa @_esmaplatnumz na kumzawadia gari mpya aina ya BMW, Diamond alifurahishwa na kitendo hicho na kurudisha pesa iliyotumika kununu gari hiyo kwa familia hiyo na kuwaongezea dola 50,000.

 

Diamond amesema amefanya hivyo kwa kuwa dada yake anaenda kwenye mikono salama sio kuolewa na wanaume ambao hawana mbele wala nyuma.

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya Bongo5 

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button