Michezo
Msuva, Samatta daahh.
Simon Msuva (30) na Mbwana Samatta (31) wote wamekosekana kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea Unakubaliana na uamuzi wa Kocha?