Michezo
Mtambo wa Assist Tanzania

ASISTI MASTA .
09 —KIPRE Junior wa Azam FC ndiye amemaliza kinara wa asisti kwa msimu wa 2023-24 akipiga pasi 9 zilizozaa mabao akifuatiwa na Stephane Aziz Ki wa Yanga (8) huku wenye saba kila mmoja ni Yao Kouassi (Yanga), Clatous Chama (Simba), Lusajo Mwaikenda (Azam), Feisal Salum (Azam) na Clement Mzize wa Yanga.
