HabariTechnology

Mtandao wa WhatsApp umerudi na kuanza kufanya kazi

Baada ya mtandao huo kupata hitilafu kwa takribani saa moja sasa WhatsApp imerudi kama kawaida.

Majira ya saa tano asubuhi mtandao huo ulipata hitilafu la kushindwa kufanya mawasiliano kwa watumiaji wake aidha mwa kupiga au kutuma na kupokea ujumbe.

Majira ya saa Sita hii WhatsAp inerudisha huduma zake na bado haijajulikana tatizo lilikuwa nini.#Bongo5Updates

Shughuli zako zimekwama kwa kiasi gani baada ya WhatsApp kupata hitilafu??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents