Mahojiano
Mtangazaji Kwisa aeleza kesi yao ilipofika baada ya kutukanwa na Harmonize (+ Video)
Akiongea na Bongofive Kwisa ameleza namna tukio hilo lilivyotea ambapo ilipelekea Harmonize kumtukana live kwenye simu, nilikuwa kazini ingawa kila mmoja anajua kwanini Harmonize alitoa amneno yale mabaya.