Mpira umemalizika na Simba SC kuondoka na ushindi wa goli nne mbele ya mwenyeji wake Mtibwa Sugar.
Mtibwa Sugar 2-4 Simba SC.
Wafungaji kwa Simba SC ni Baleke, Onana, Fabrice Ngoma na Chama.
Magoli ya Mtibwa Sugar yakifungwa na Matheo Anthony dakika 20 na 22.