
Mtoto Hamimu Baranyikwa wa Mkoani Kagera aliyekuwa akisumbuliwa na Ugonjwa wa ngozi ni moja ya Watanzania waliokutana na utu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutibiwa bure ugonjwa wa ngozi aliokuwa ameukatia tamaa.
Aidha Hamimu alipewa nyumba ya kuishi na Mzazi wake Mkoani Kagera.
Kuangalia Video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5
https://youtu.be/XbMAXK4Pj5M