Mtoto mchanga aokotwa mto Msimbazi, wananchi kumsaka nyumba kwa nyumba aliyekitupa (Video)

Mapema mchana wa leo watembea kwa miguu kando na mto Msimbazi jijini Dar Es salaam wamemuona mtoto mchanga akiwa kwenye mfuko bila kujua ni nani ambaye alitelekeza katoto hako maenao hayo.

Mjumbe wa mtaa huyo amedai yeye mapema asubuhi ya leo alipigiwa simu na watu akipewa taarifa ya kichanga hicho kutupwa kwenye mto Msimbazi ambao hupitisha maji wakati wa mvua.

Mpaka kamera ya Bongo5 inaondoka eneo ya tukio jeshi la polisi liliuchukua mwili huo kwaajili ya uchuchuzi zaidi.

Related Articles

Back to top button
Close