Mtoto wa Darasa la nne amkosha Rais Magufuli – Siku moja uwe Waziri au Rais (+Video)

”Shule yetu mbovu sana, madawati hamna, sementi imebomoka, kwanza shule yenyewe mbovu, mabati yote yameshakuwa na kutu, shule yote mbovu, rangi zote zilizopakwa sasa zimefutika, inaitwa Shule ya Msingi Somanga nipo darasa la nne.”- Rehema Mikidadi Ngenje mtoto shule ya msingi Somanga.

”Naichangia Shule ya Msingi Somanga TZS Milioni 5. OCD wa hapa hakikisha hizi fedha zinaenda benki na zinapelekwa katika hiyo shule, mkazitumie kweli nitakuja nifuatilie lakini TZS 100,000 ibaki kwa huyu mtoto,” – Rais Magufuli

Related Articles

Back to top button