BurudaniMichezo

Mtoto wa Lebron James afanya Maajabu (Video)

Licha ya kuwa Lakers walipoteza mbele Cleveland Cavaliers kwa kufungwa Vikapu 134 kwa 110 vya Los Angeles Lakers, Habari nzuri ni kwamba mtoto wa Lebron James alifanikiwa kuipatia Lakers Points.

Mtoto huyo wa Lebron James Bronny James miaka 21 alifanikiwa kufunga vikapu kwa mara ya kwanza Tangu aanze kucheza ligi ya NBA kwenye timu ya Los Angeles Lakers.

Baada ya kufunga angalia jicho la Baba yake 😂😂

Cleveland Cavaliers ndio timu aliyokuwa anachezea Lebron James kabla ya kujiunga na miamba wa Lakers.

Kwa sasa Lebron James anacheza timu moja na mtoto wake Bronny James.

🎥 via NBA. Written by @el_mando_tz

https://www.instagram.com/bongofive/reel/DByBbYpqIga/

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents