Habari
Mtu anayechangia Mbegu katika Hopsitali ya Kairuki huwa hafahamu anamchangia nani

Kutokana na kuwepo kwa matukio ya watu waliowahi kuwachangia watu fulani mbegu za uzazi kurudi kudai watoto au kutaka pesa na kugeuka kuwa usumbufu kwa couple Daktari kutoka Hospitali ya @khkairukihospital @kairuki_green_ivf
Mtaalam wa Afya JEAN PIERRE NJORI amesema kuwa mtu anayechangia Mbegu katika Hopsitali ya Kairuki huwa hafahamu anamchangia nani na hata wanaochangiwa hawajui mbegu zimetoka kwa nani. Pierre ameyasema hayo kwenye kilele cha kuhitimisha mafunzo kwa madaktari wa uzazi kutoka Hospitali mbalimbali nchini yaliyoandaliwa na @kairuki_green_ivf
Video Nzima ipo katika Akaunti yetuyoutube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah255 and @el_mando_tz