Michezo

Mtukutu ‘Super’ Mario Balotelli kurejea England

Newcastle imehusishwa kutaka kumrejesha England mtukutu ‘super’ Mario Balotelli katika dirisha la usajili.  Balotelli ambaye kwa sasa anaitumikia Adana Demirspor ya nchini Uturuki, lakini kwa sasa anaangaziwa kama moja ya sajili itakayozungumzwa zaidi.

The story behind 'Why always me?'

Klabu ya Barcelona imehusishwa kutaka kuwasajili, Timo Werner, Pierre-Emerick Aubameyang na Edinson Cavani. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo wachezaji hao wanaweza kusajili dirisha hili la mwezi Januari ama hata lijalo.

Watford imeridhia dili la paundi milioni 3.5 kutoka Bordeaux FC ya Ligue 1 dhidi ya winga Mnigeria, Samuel Kalu (24).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents