Mugabe yupo chini ya ulinzi wa jeshi – Rais Jacob Zuma

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema kuwa amewasiliana na kiongozi mkuu wa Zimbabwe, Robert Mugabe kwa njia ya simu na kudai kuwa Rais huyo yupo salama chini ya ulinzi wa majeshi ya nchi hiyo. Bwana, Zuma amesema amezungumza na kiongozi huyo mapema leo baada ya kupata taarifa kuwa jeshi la nchi hiyo limezingira makao … Continue reading Mugabe yupo chini ya ulinzi wa jeshi – Rais Jacob Zuma