Mugalu aukosa ufungaji bora, kauli yake baada ya John Bocco kumzidi magoli (+Video) 

Nyota wa #simbasc Chris Mugalu amekubali kushindwa katika mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora dhidi ya mchezaji mwenzake wa @simbasctanzania John Bocco.

Mugalu na Bocco wametofautiana kwa goli moja tu, mpaka dakika za lala salama walikuwa wanalingana magoli kabla Bocco kupata penati iliyompa nafasi ya ushindi wa kiatu cha dhahabu.

Related Articles

Back to top button