Michezo

Muhindi wa Simba vita yake na Mangungu bado haijaisha

MUHINDI WA SIMBA KESI YAKE NA MANGUNGU NDIO KWANZA IMEANZA

Mwanachama wa klabu ya Simba @muhindi_wa_simba53 bado anaendelea kuweka moyoni namna alivyochukizwa na Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu baada ya kuwakimbia kwenye mkutano Mkuu wa Wanachama wa Simba.

@muhindi_wa_simba53 moja ya dukuduku lake ni namna ya Uongozi unavyoendeshwa akidai kwa zaidi ya miaka minne hakuna mwanachama mpya aliyeweza kusajiliwa.

Kuangalia video kamili tembele kurasa wa Youtube Bongofive

 

 

 

 

Imeandaliwa na @witnessflavian24 na @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents